1 Yesu atibabakiya kae benepunzi bake, "Pabile na mundu yumo tajiri abile na meneja, na apeilwe habari ya kwamba meneja yono atapanya mali yake. 2 Nga nyoo tajiri atikumkema, nikum'bakiya, "Nga namani yeni yaniipekania kunani yako? Upiye hesabu ya umeneja wako, kwa kuwa uwecha kwaa panga wameneja kae." 3 Yolo meneja atibaya kumoyo wake, nipala panga namani, mana ngwana wango anikonyie kazi yango ya umeneja? Ntopo ngupu ywa lema, na loba loba nibona oni. 4 Nilitangite lanipala panga lenga panipoyelwa kukazi yango ya uwakili bandu banikaribishe kunyumba yabe. 5 Nga nyoo wakili atikubakema adeni wa ngwana wake kila yumo akam'bakiye wa kwanza,'udaiwa kiasi gani ni ngwana wango?' 6 Atibaya ipimo mia jimo ya mauta akambakiya 'utole upesi hati yako utame upesi uyandike hamsini.' 7 Boka po atim'bakiya ywenge na wenga udaiwa kiasi gani? 'atibaya 'ipimo mia jimo vya bwembe wa ngano, 'Akam'bakiya, 'utole hati yako uyandike themanini.' 8 Yolo ngwana atikumsifu meneja dhalimu cha pangite kwa weleu, kwa kuwa bana ba'kilambo wono na werevu wanambone nashughulika kwa ung'anga na bandu baupande wabe kuliko bababile bona banuru. 9 Na nenga nindakuwabakiya muipange ambwiga kwa mali ya udhalimu lenga baikosike babakaribishe katika makao ga milele. 10 Ywa abiile mwaminifu katika lalibile lichunu muno upanga uaminifu katika likolo, na abile dhalimu katika kichunu muno na katika kikolo pia. 11 Mana mwenga mpangile kwaa uaminifu katika mali ya udhalimu na ywako apalakukuamini katika mali ya kweli? 12 Na mana mwabile kwaa baaminifu katika tumia mali ya mundu ywenge nyai ywapala kuwapea yaibile ya kwinu bene? 13 Ntopo mtumishi ywaweza tumikia ngwana wanaibele, kwa maamna apala kumchukia yumo na kumpenda ywenge, ama apala chikamana ni yolo na kumdharau hayo. Hawesa kwaa kumtumikia Nnongo na mali." 14 Bai Mafarisayo, bababile apenda mbanje bayowine ago goti na chalawa. 15 Na atiabakiya, "Mwenga mwamuipunia haki nnonge ya bandu, lakini Nnongo aitangite mioyo yinu, kwa kuwa latitumikite kwa bandu upanga chukizo nnonge ya Nnongo. 16 Saliya na manabii vyabile mpaka Yohana paichile. Boka wakati wolo, habari njema ya ufalme wa Nnongo utitangazwa, na kila mundu upaya jingya kwa ngupu. 17 Lakini na rahisi ka kumaunde na pakilambo viboke kuliko hata herufi yimo ya saliyakosekana. 18 Kila ywanneka nnyumbowe na kobeka nnwawa ywenge azini, nayomkobeka ywembe ywalekwite na nchengowe azini. 19 Pabile na mundu yumo tajiri awalite ngobo za rangi ya zambarau na kitani safi na abile atipurai kila lichoba utajiri wake nkolo. 20 Na maskini yumo lina lyake Lazaro abekitwe muligeti lyake, na ana ilonda. 21 Na ywembe atitamani yukuta kwa makombo yatambwike katika meza ya yolo tajiri hata mapwa waichile na kumlambata ilonda yake. 22 Ikawa yolo maskini awile ni tolekwa na malaika mpaka pakiuba cha Ibrahimu. Yolo tajiri pia awile nachikwa. 23 Na kolo kumambe abile kumateso aobwile minyo gake na kum'bona Ibrahimu kuutalu na Lazalo pakiuba chake. 24 Atilela na kubaya, Tate Ibrahimu, unihurumie unlei Lazaro achuye ncha ya lukonji lwake mumache, auburudishe ulimi wango, kwa sababu nindateswa katika mwoto wono. 25 Lakini ibrahimu abayite, "Mwana wango ukumbuke ya kwamba katika maisha yako utipokiya makowe yako mema, na Lazaro nyo apatike mabaya. Ila nambeyambe abile pano anafarijiwa na wenga unalumia. 26 Na zaidi ya ago, kubekitwe liembwa likolo na lilacho kati yitu, lengo balo bapala boka kono icha kwoo kana bawechange wala bandu wa kwinu kana baloke icha kwitu." 27 Yolo tajiri abayite,'nindakuloba tate Ibrahimu, kwamba umtume kunyumba ya tate bango. 28 kwa kuwa nibile nabo anunango atano linga abaonye, kwa hofu kwamba nabo baicha mahali pano nateseka.' 29 Lakini Ibrahimu abayite, "Babile Musa na manabii babapekani bao. 30 Yolo tajiri atibaya, "Nyoo kwaa, tate Ibrahimu, lakini mana ayendile mundu boka kono kwa wafu bapala tubu.'' 31 Lakini Ibrahimu atikum'bakiya, ''Kana bakani kuwa pekania Musa na manabii bapala shawishika kwaa ni mundu hata mana atiuluka boka mu'kiwo''.