1 Lambua, nganebduma mjumbe okwa, ambacho apeandaa njia mbele yakwa. Na mndumi, ambaye mnemshigha, nyapecha ghafla ko hekalu jake, na mjumbe o agano, ambaye katika yeye mnemshigka, lambua anecha, aleamba mndumi o majeshi. 2 Na nyungsmija mupaka siku yecha kwake na nyungacho apeimukana kameifunya? icho cha mndu asafishaye ko modo kama sabuni efulia. 3 Nyapedamia ne tawala cha msafishaj o hela, na nyapevafisha vana Lawi na nyapevafanya vave vasafi cha dhahabu na hela, na vapeende sadaka sa haki ko mundumi. 4 Na sadaka ya Yuda na Yerusalem ipeva njicha ko mndumi cha siku sa kala, na miaka ya kala. 5 Kisha ngapeida kufui na inywe kuwahukumu na ngapeva shahidi mwepesi dhidi ya vasavi, wazinzi, mahisahidi mwepesi dhidi ya vasavi, wazinzi, mahisahidi va vongo, na kinyume cha vaja vaneonea vafanyakazi ko mzigo yake, anaoone a wajane na yatima, na anemdichira mahenu ifaa wajane na yatima, na anemdichira mghenu ifuma kwenye haki yake na vaja valenengitii inyi, "aleamba mndumi o majeshi. 6 Inyi mndumi, ngapebadilikapo, pia inywe, vanduva Yakobo, mletumiapo. 7 Ifuma siku sa papa sedu mmengahaluka kwacha na amri sakwa na mlasituzapo. ngigeukyenyi, nainyi ngapevaghuja inywe," aleamba mndumi o majeshi. Kake mneamba, jipekughuja? 8 Mwanadamu naupendima imwivya makilunga mneingiivya inyi, kake mneamba, kudajakuivya? ko zaka na sadaka. 9 Mmeng'oki ko ng'oki ko ingiivya inyi, orika lose ilu. 10 Endenyi zaka kamili sikeri ghalenyi, ili kwamba kive kando ko numba yakwa. Na mngijaribu ko iji, aleamba mndumi o majeshi. " kama ngalapevarughuja madirisha va mbinguni ne ivabusuja baraka uye yanu, ili kwamba kupeva na upande o shika isiadija. 11 Ngapemkemea mnyamari kwapo, kwamba alanyamare mavuno vanu va orika lwanu; mizabibu yanu katika mideme ipepuputushapo kabla ya wakati wakepo," alededa mndumi o mjeshi. 12 Mataifa vose vapekudikira mbarikiwa, ko ajili yapo ipiva nyi lo furaha, "alededa mndumi o majeshi. 13 Shidedo shana sikiri shiomye kinyume kyakwa, alededa mndumi. kake mnededa, "Jimeamba ngikyo kinyume kyapo? 14 Jimeamba, 'Kuodepo maana imtumiki makilunga. Kuode faida njiki itunza maagizo vake ana mnedambuka kuna mneomboleza mbele sa mndumi o majeshi? 15 Naluaha jinemdikira aode kiburi marikiwa waharifu nyifanikiwa tu, bali nyimjaribu makilunga na imwepuka." 16 Kisha vaja vanemweshimu mndumi valesemeza na umu baada ya ungi, mndumi akeri ndughucha ijiadanya, na kitabu kya kumbukumbu kileandikwa mbele sake ko ajili ya vaja vanemuogwa mndumine ijiheshimu irina jake." 17 Vapeva vakwa; alededa mndumi o majeshi," hazina sakwa katika siku ngapetenda; ngapevakunda, cha kundu mndu anemkunda mwanake akeri muhuduia. 18 Kisha zaidi sana ngapetofautisha kati ya haki wenye haki na wanyamari na wanamwabudu mkilunga na asiyemwabudu yeye.