Isura 8

1 Nondee luchowo ambalo twilonga ni hili: twinave kuhani mkuu yeekete panyi katika liwoko lya kulia wa kiti jkya enzi mbinguni. 2 Mwene ni mtumisi katika mahali patakatifu, hema la kweli ambalo mtwa alivikile, sio munu yoyonda va kufua. 3 Kwa maana kila kuhani mkuu evikuwa kutauwa zawadi ni dhabihu, kwa hiyo ni muhimu kuvecha na kinu kya kuhecha. 4 Nondee ngita kristo akakali pakyanya ya iyi , mwene ngalisiavechile kuhani zaidi ya hapo, kwa kuwa vakakali tayari vala yevatauwe vipawa kuhigana na sheria. 5 Walihudumu kinu ambakyo kikakali nakala na lwifunyilwa finu fya mbinguni, sawa kama Musa peawonyilwe nba Mulungu wakatio peakele kuchenga hema, ''lave'' Mulungu alonhile, ''kutigila golaniche kila kinu kulingana na muundo wewalangwiche pakyanya ya Mlima''. 6 Lakini sasa kristo anwike huduma bora zaidi kwa sababu ya mwene kangi ni mpatanisi va agano linofu ambalo lisilile kwimalisha kwa ahadi nofu. 7 Ende ngita agano la kwanza nagi livechile na makosa, ndipo singali kuvechile na haja kusaka agano la wuvili. 8 Kwa kuvecha wakati mulungu peagundue makosa kwa vanu alongile, ''Lole siku chikwacha, elonga mtwa wakati ni penitengenesa agano lipia pamwi na nyumba ya Israeli, na nyumba ya yuda. 9 Selivecha kama agano lyelyagolile pamwi na daada vao siku ambayo navanyamuwe kwa liwoko kuvalongocha kuhuma inyi ya misri kwa kuwa sevagendeliye katika agano lyangu, nene senikavajalile kangi, elonga mtwa. 10 Kwa kuwa hioli ndilo agano nigola kwa nyumba ya Israeli baada ya siku hizo Elonga mutwa nivika sheria changu munyolo chao na nichandika munumbura chao nivecha Mulungu vao, vavecha vanu vangu. 11 Sevafundisana kila yumwi najilani yake, na kila yumwi na lukolo vake, elonga, ''hivyo wonda vanichele nene, kuhuma mdodo adi mkomi vao''. 12 Ende nilangucha vehema kwa matendo gao gegehela haki, na senichiuka dhambi chao kangi''. 13 Kwa kulonga ''mpya'' aligolile agano la kwanza kuvecha sakafu na hilo ambalo alinadisile kuvecha litayari kuyaga.