Isura 6

1 Kwa hiyo tulekege kyetwefunzilwe kwanza kuhusu ujumbe wa kristo, twipasuwa kuvecha na juhudi kuhelela kwenye ukangafu, kutane kuvika kangi misingi ya toba kuhuma katika ksi zisizo na uhai na imani katika Mulungu. 2 Wala misingi gya mafundiso ga uabtiso na kuvavika mavoko, uchukaji wa ufuo, na hukumu ya milele. 3 Na tugolaichi ikiwa Mulungu ataruhusu. 4 Kwa kuvecha seiwesekana kwa vala ambao vaipatile nuru awali, ambao vaonjile kipawa kya Mbinguni, na kunyuwa kuvecha vashiriki va numbura mbarafu. 5 Na ambao vahonjile unofu waluchowo lwa mulungu na kwa ngufu cha wakti wewikwacha. 6 Na kisha vakague- seiwesekana kuvawiisa kangi katika toba ichi ni kwa sababu vamgudiche mwana vamulungu mara ya uvili kwa nafsi chao vamgolile kuvecha kyombo kya mahanyagi hadharani. 7 Kwa kuvecha uganga yeipokie ndonya yeitonya mara kwa mara kukya yake na ikahechile mazao muhimu kwa awo yevagolile kasi katika uganga kwanuka baraka kuhuma kwa Mulungu. 8 Lakini ikiwa kuvegala misufi na magugui kangi thamani na poili katika hatari ya kuipata ng'ara mwisho gwake kuteketesuwa. 9 Ijapokuwa twiywanga ndee rafiki wapenzi tunashawishiwa na njowo nofu yavahusuyo nyenye na njowo yahusuyo ukombosi. 10 Kwa kuvecha Mulungu si dhalimu hata seekwisemuwa kasi chenu na kwa rusungu we uwonise kwa anjili ya litawa litawa lyake, katika hili mkawatumikie vaamini na bado mgati mkuvatumikila. 11 Twikuhuvila sana kutigila kila yumwi venu awese kulangucha bidii yiyila mpaka mwisho kwa wa jasiri. 12 Tulema kuvecha vafifu, lakini mveche vafuasi va vala yevehala ahadi kwa sababu ya imani ya imani ya ufumilifi. 13 Kwa maana Mulungu peamgavie Abrahamu ahadi amgavie kwa nafasi chake, kwa kuvecha sengaelapikle kwa yungi yoyonda yeavechile mkomi kuliko mwene. 14 Alongile, ''Hakika nitakubariki na ndongelecha uvegalo wake zaidi.'' 15 Kwa ng'asi iyi Abrahamu apokie kila alichoahidiwa badala ya kuvetela kwa uvumilivu. 16 Maana vanu huapa kwa mwene aliye mkomi vao, na kwao ukomo wa mashindano gonda ni kiapo kwa kugahakikisa. 17 Wakati Mulungu peamuwe kuwonesa kwa mwachi saidi kwa vahalaji wa ahadi kusudi lake linofu lisilobadilika alihakikise kwa kilapo. 18 Agolile ndee ili kwa finu fiwili sefiwesa kubadilika, ambavyo katika hivyo Mulungu seewesa kulonga udesi nefwe yetwakimbiliye hifadhi tupate kutiwa numbura kukolela kwa likakala tumaini lilivikiwe kutalo yetu. 19 Tunao ujasiri ugu ngita nanga imara na ya kutegemea ya numbura chetu ujasiri ambao wikwingila sehemu ya mugati nyuma ya pazia. 20 Yesu akengile sehemu ila ngita mlongochaji vetu akisha kugioluwa kuhani mkomi hata milele badala ya utaratibu wa Merkizedeki.