Isura 3

1 Kwa hiyo, lukolo vatakatifu, wasghiliki wa ukelo wa mbinguni, mumuholose Yesu, munyikongo na kuhani mkuu va ushiriki wetu. 2 Akakali mwaminifu kwa Mulungu yeamuhague, ngita Musa peakakali mwaminifu kangi katika nyumba yonda ya Mulungu. 3 Kwa kuwa yesu avalanguilwe kuvecha na heshima ngomi kul;iko cheakakali nacho musa, kwa sababu yula yeechenga nyumba avalagua kuvecha na heshima ngomi kuliko nyuma yene. 4 Kwa kuwa jkila nytumba ichengua na munu furani, lakini yula yeechenga kila kinu ni Mulungu. 5 Hakika Musa akakali mwaminifu kama mtumishi katika nyumba yonda ya Mulungu, ahechege ushuhuda kuhusu njowo chechilonguwa wakati wewikwacha. 6 Lakini kristo ni mwana katika usimamisi wa nyumba ya mulungu nehwe ni nyumvba yake kama tukolelecha haraka katika kwiamini na fahari ya kwiamini. 7 Kwa hiyo, ni kama numbura mbarafu elonga, ''neng'uli, kama upulika sauti yake''. 8 Ubihile kugola numbura yako kuvecha mkafu kama waisraheli pevagolile katika uasi, katika wajkati wa kugechuwa nyikani. 9 Huu ukakali wakati ambao vadadenyu vaniasile kwa kunigecha, na wakati, kwa miaka arobaini, vawene matendo gangu. 10 Kwa hiyo sendafurahishwe na kizazi hicho, walongile, vayugile kila mara katika numbura chao bna seauchele ng'asi changu. 11 Ni gita ndee penalapikle katika hasira yangu, siyaingile raha yangu. 12 Muveche vaangalifu, lukolo, ili kutigila ubihile ukawepo numbula yanangifu ya kuvecha kwa mini ya yumwi venu, numbura ambayo uhelela kutali na Mulungu yemunani8. 13 Badala yake, mhamasishane kila siku, kila yumwi na miyage ili kila ikemeluwa newng'uli mtamani, ilikutigilsa yumwi pagati yenu abihile kugoluwa kuwa mkafu kwa uchangaji wa dhambi. 14 Kwa maana tuvechile vashiriki va kristo ikiwa tukolerkana na uthabuiti wetu kwa likakala katika mwene kuhuma mwanzo hadi mwisho. 15 Kuhusu hili isilile kulongua, ''neng'uli ngita mupulikicha sauti yake, mubihile kugola numbula chenu kuvecha mikafu, ngita waisraheli fyevagolile wakati wa uasi. 16 Ni akina nani hao yevakampulike mulungu na kuasi? sevakakali vala wonda ambao Musa akakali avalongwiche kuhuma Misri?. 17 Na vanani ambao Mulungu avakalalie kwa miakla arobaini? siyo pamwi na vala yevagolile dhambi, ambao mivili gyao gyegikafuwe gikagomile jangwani?. 18 Ni kina nani akavalapie Mulungu kutigila siuvengila katika raha yake, ngita sio vala ambao hawakumtii yeye?. 19 Twiwona kutigila sivawesile kwingila katika raha yake kwa sababu ya kutokwamini.