1 Paulo mteme wa kristo yesu kwa mapenzi ga nguruvi na Timotheo lukolo vetu. 2 Kwa waumini na valukolo vaaminifu katika kristo povali kukolosai neema weecha kwa nyenye na amni kuhuma kwa nguruvi. 3 Twitaula shukrani kwa nguruvi Dada va mtwa vetu yesu kristo na tukuvasukila marakwa mara. 4 Tupulike imani yenu katika yesu kristo na upendo wemwinao kwa vala wonda yevatengilwe kwa ajili ya nguruvi. 5 Mna upendo huu kwa sababu ya taarajala la uhakika lyelyetunzwilwe mbinguni kwa ajili ya nyenye. Mwapulike kutigila talaja hiyo ya uhakika kabla katika kneno la kweli. 6 Ambayo yachile kwa nyenye injili hii ivegala tunda na ikwenea ulimwenguni kote ivechile igola endee mgati yenu piua tangu siku pemwapulike na kwifundisa kuhusu neema ya nguruvi katika nakaka. 7 Hii ndiyo injili yemwefundisilwa kuhuma kwa Epafra mkelwa vetu mtumishi miyetu ambae ni mtumishi mwaminifu wa kristo kwa niaba yetu. 8 Epafra augolile uchelekanbe kwa nehwe upendo wa nyenye katika numbura. 9 Kwa sababu ya rusungu ulu tangu siku tukapulikile endee setukalekile kuvasukila tukali twisuka kutigila mmemechua na maalifu na mapenzi gake katika hekimma yonda na kuichela kwa kinumbula. 10 Tukali twisuka kutigila mugunda kwaustahimivu wa mtwa katika ng'asi chechipendesa twikali twisuka kutigila mvegala tunda katika tendo linofu na kutigila mveche katika maarifa ga nguruvi. 11 Twisuka mweze kuvikiwa ngufu katika kila uwezo kuhigana na ngufu za utukufu wake katika ufumilifu na ustahimili wonda. 12 Twisuka kutigila kwa furaha mtaula shukrani kwa Dada yeeavagolile nyenye muveche kuwa na sehemu katika mahaya waum,ini katika nuru. 13 Utukomboe kuhuma kuutawala wa kisi na kutuhamichila katika ufalme wa mwana vake mpendwa. 14 Katika mwana vake tuna ukombosi, msamaha wa sambi. 15 Mwana ni mfano wa nguruvi yesiye yoneka. Ni msaliwa wa kwanza wa uumbaji wonda. 16 Kwa kuwa kwa mwene vinu fyonda fyawumbilwe fila fyefikukyanya na fyeefipasi vinu fyefiwoneka na sefiwonekana. Ikiwa ni vya enzi au mamlaka au utawala au wenye likakala finu fyonda fyawumbilwe na mwene kwa ajili yake 17 Mwene akali kabla ya vinu fyonda na katika mwene finu fyonda fikoleng'ana pamwi. 18 Na mwene ndio mtuwe gwa mvuili yaani kanisa. Mwene ni mwanzo na mvegalau wa kwanza kuhuma miongoni mwa wafu, hivyo ananafasi ya ya kwanza miongoni vinu fyonda. 19 Kwa kuwa nguruvi apendesilwe kutigila utimilifu wake wosa wikale mgati yake. 20 Na kupatanisha vinu fyonda kwake kwa ng'asi ya mwana vake. Nguruvi akagitile imani kuchumbila danda ya msalaba gwake. Nguruvi apatanise vinu fyonda kwamwenekaye . ikiwa vinu fya lidungulu au finu fya mbuyuni. 21 Nanyi pia kwa wakati wumwi mkakali vahemie va nguruvi na mkakaliu maadui vake katika luhala na matundo mabaya. 22 Lakini sasa avapatanise nyenye kwa muvili gwake kuchumbila kifo akagitile ndeya ili kuvaleta nyenye watakatifu yesevehela lawama na bila dosali kutalo yake. 23 Neke mgendelele katika imani mlio imalishwa na kuwa thabiti pasipo kuhechua katika kuhuma kwenye taraja la ukakatima la injili yemwapulilike hii ndio la injili yeyatangasihwe kwa kila munu yeaumbilwe panyi ya mbingu hii ndio injili ambayo kwayo mimi Paulo nivechile mtumishi. 24 Sasa nifurahie kuguda kwangu kwa injili ya nyenye na hii nditekelesa katika muvili gwangu kyekikepa kwa kugenda kwa kristo kwa ajili ya muvili gwake ambao ambao ni kanisa. 25 Nene ni mtumisi wa kanisa hili sawasawa na wajibu wendipevilwe kuhuma kwa Nguruvi kwa ajili ya nyenye kulimemecha luchowo lwa nguruvi. 26 Huu ni ukweli wa sili iliyokuwa yeyifihilwe kwa miaka gyongofu na kwa vizazi lakini sasa igubutulilwe kwa vonda yeyikwamini katika yeye. 27 Ni kwa vala ambao nguluvi akelege kugubutula kweve utajili huu miongoni mwa mataifa ni kutigila kristo emugati yenu, ujasili wa utukufu ujao. 28 Huyu ndie yetukumnadisa. Tukumkana kila munu na tukumfundisa kila munu kwa hekima yonda ili kwamba tumuleke kila munu mkamilifu katika kristo. 29 Kwa ajili hii mm najibidiisha na kujitahidi kulingana na likakala lyake ifanyayo kasi mugati yangu katika uwezo.