Isura 8

1 Tukuvasaka nyinyi muchele, kuhusu mkenda ga mulungu ambayo ihechuluwa kwa makanisa ya makedonia. 2 Wakati wa kugechuwa likomi la kuguduwa wongofu wa furaha chao na kutulia kwa uhuchu gwao ulelile utajili mkomi wa ukalimu. 3 Kwa maana nashuhudia utigila tuvahechile kwa kadri ya wevawesile. 4 Na kwa hiari wenekaye kwa kutusihi kwa wogofu, vakatusukile kwa ajili ya kushiriki katika hudfuma hii kwa waumini. 5 Hii seikahumie kutigila tukavechile tunatarajia. Badala yake kwanza vekehechile wao wenekaye kwa mtwa. Kisha vekehechile vao venekaye kuwa neve kwa mapenzi ga mulungu. 6 Hivyo tukamkanie Titop, yeavechile tayari avangiche kasi iyi kuleta katika utimilifu luchowo ili la ukarimu kukyanya ya nyenye. 7 Lakini nyenye mnawogofu katika imani katika kulonga, katika maarifa, katika bidii, katika rusungu, na katika upendo gwao kwa ajili yenu, Hivyo mhakikishe kutigila nyenye mnakuwa na wongofu pia katika luchowo ili la ukarimu. 8 Nilonga ili si ngita amri, pambele yake nilonga ichi li kupima uhalisi wa lusungu gwenu kwab kugeranicha na shauku ya vanu wongofu. 9 Kwa maana mkauchele mkenda gwa mtuwab vetu yesu kristo . Hata ngita avechile tajiri, kwa ajiri yetu akavachile maskini ili kutigila kuchumbila umaskini gwake muwese kuvecha tajiri. 10 Katika luchowo ulu ndivagavila ushahuri ambao uvasaidila, Mwaka gumwi guchumbile, semkavangile tuu kugola luchovo. Lakini nilitamani kugola. 11 Nondee mlikamise ngita tu kulivyokuwa na shauku na nia ya kuligola, kisha je ngamuwesile pia kulileta ukamilifu, kwa kadri ya mwiwesa. 12 Kwa kuvecha mnashauku ya kugola luchoeo lili, ni luchowo linofu na likwidikila. Lasima liwe kukyanya ya kila kyeenacho munu, sio kukyanya ya seachile nakyo munu. 13 Kwa kuvecha kasiu ichi siyo kwa ajili ya kutigila weongofu vawese kupata na nyenye muwese kulemewa, pambele yake kuvecha na usawa. 14 Wolofu wenu wa wakati nondee usaidila kwa kila kyevekukikala. Hii ni hivyo pia ili kutigila wongofu vao wawese kupata nafuu na nyenye wawese kusaidila mahitaji gao, na kutigila kuvecha na usawa. 15 Hii ni kama ilivyoandikwa, ''yeye ali na vingi aliehela kinu kyokyonda kilichobaki na mwene aliyekuwa na kidogo hakuwa na uhitaji wowote''. 16 Laiki ashukuliwe Mulungu yeavikile mgati ya ya numbura ya Tito numbura gulagula wa bidii ya kujari ambavyo ninayo kwa ajili yenu. 17 Kwa kuvecha si tu apokie maombi getu, bali pia akavechile na bidii kuhusiana na maombi ago. Akachile kwa nyenye kwa hiali yake mwenekaye. 18 Tumtumile pamwi na mwene lukolo ambaye vekumchumila mgati mwa makanisa kusafiri kwa ajiri ya kasi chake katika kutangasa injili. 19 Si ndeni tu, lakini pia ahaguliwe na makanisa kusafiri na newe katika kulinyamula sehemu mbalimbali luchowo ili la ukalimu. Hii ni kwa uvalafu wa mtwa mwenekaye na kwa shauku chetu ya kwitanga. 20 Twiyepuka uwesekano kutigila yeyonda nipasuwa kulalamika kuhusiana na newe, kuhusiana na ukarimu ugu ambao tukuunyamula. 21 Twinyamula uangalifu kugola kilicho cha heshima sio tu kutalo cha mtawala lakini p[ia kutalo cha vanu. 22 Pia tukumtuma lukolo yingi pamwi na vene. Tumpimile mara chongofu na twimwene ni mwenye shauku kwa ajili ya kasi chongofu. Hata nondee ana bidii zaidi kwa sababu ya ujasiri mkomi gweavechilev nago mgati yenu. 23 Kwa habari ya Tito, mwene ni mshiriki mwenza na nene ni mgola kasi mwiyangu kwa ajili changu. Ngita kwa lukolo lwetu, vetumwa na makanisa nui waheshima kwa Kristo. 24 Hivyo, muvawonese lusungu wenu, na muwoneshe kwa makanisa kwa sababu ga majivuno getu kwa ajili yetu.