Sura 16

1 Wakati siku ya Mungu ilipita Maria Magdalena na Maria mama yake na Yakobo , na Salomé, balinunua malasi muzuri, yakuweza ku pakaa mwiliwa Yesu ajilli ya maziko. 2 Asubuhi sanasiku ya kwanza ya juma balienda kwenye kaburi, wakati jua ilitoka. 3 Wakisemezana kati yao, nani atatosha jiwe mbele ya kaburi ajili yetu . 4 Wakati balikuwa na zumuza baliona mtu anaisha kotosha jiwe ambayo ilikuwa kubwa sana. 5 Bakaingia kwenye kaburi, na baka mwona kiyana anavaa kanzu meupe ana ikaa upande wa kulia, na wakashangaa. 6 Akabaambia, msiogope mnamtafuta Yesu wa Nazareti, uyu balitungika. 7 Mwende mkawaambe banafunzi wake na petro ya kuwa,anabatangulia ku Galilaya, kule ntamwona kama alikuwa na baambia 8 Bakaondoka na kukimbiya kutoka kwenye kaburi , balitetemeka na balishangazua . habakusema hata kitu na mtu yote sababu baliogopa sana. 9 Asubuhi sana katika sikuya kwanza ya juma kiisha ya kufufuka alimto kea kwanza Maria Magdalena ambayo kutoka kwake alimtosha mapepo saba. 10 Alionadoka na kuwaambia wale balikuwa pa moja naye wakati balikuwa na huzunika na kutosha machozi. 11 Balisikia kwamba iko mzima, na alkiomekana na ye. Lakini habakumwamini 12 Kiisha hayo, alitokelea katika namna tofauti kwa batu bengine bawili wakeati balikuwa na tembeya kotoka katika mongini. 13 Balienda na kuawaambia banafunzi bengine baliobaki lakimi habakwa amini. 14 Kiisha hayo Yesu akatokea kwa bale kumi na moya balikuwa ku meza na akawaambia tena sababu na kukosa kuamini kwao na ugumu wamioyo , kwa sababu habakuwaamini bale balmwona nyuna yake kufufuka koka kwa wafu. 15 Akabaambia, mwendeni dunia wote na kuhubia injili kwa viumbe yote . 16 Yule ataamini na akabatizwa,ataokelewa , na yule asiyeamini,tahukumiwa. 17 Angalia ishara hizi zitaambatana na wote waamini. Kwa jina yangu batafukuza chitane, batasema kwa lughamppya. 18 Batabamba nyoka kwa mikono yao na hata bakikunywa kitu yote ya kifo. Wataweka mikono kwa bagonjwa nao batakuwa bazima. 19 Kiisha ya bwana kusema nao, akachukuliwa juu mbinguni na anakaa komkono wa kiume wa Mungu. 20 Wanafunzi walienda na kuhubikila fasi, na bwana ali kisha mwito wao na miudiza